BREAKING News: Yanga Yaamua Kumuuza Feisal Salum Kwa Azam FC, Wathibisha Kwa Kuandika Haya


BREAKING News: Yanga Yaamua Kumuuza Feisal Salum Kwa Azam FC, Wathibisha Kwa Kuandika Haya
Fei Toto Asainiwa Azam

Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa imekubali kumuuza mchezaji Feisal Salum (@feisal194) kwenda Azam FC baada ya kupokea ofa kutoka klabu hiyo.

Kupitia taarifa kwa Umma iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa Feitoto ameuzwa kwenda Azam FC kwa dau ambalo halitawekwa wazu kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.

Feisal ataungana na timu yake mpya baada ya makubaliano binafsi na dirisha la usajili kufunguliwa rasmi.

Kushoto ni Barua ya Feisal Salum ya Disemba 24 akiwaaga Yanga .! Kulia ni Barua ya Yanga leo June , 8 wakithibitisha kumuuza .

Case closed 🤝


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad