Breaking : Simba Yatema Wanne



Klabu ya Simba tayari imetangaza kuachana na watatu kutoka kwenye benchi la ufundi la senior team pamoja na Kocha Mkuu wa timu ya wanawake [Simba Queens].

Walioachwa kutoka Simba senior team ni CHLOUHA ZAKARIA [Kocha wa Magolikipa], KELVIN MANDLA [Kocha wa viungo] na FAREED CASSIM [Mtalaam wa viungo].

Wakati huohuo Kocha wa timu ya Wanawake [Simba Queens] CHARLES LUKULA amefunguliwa mlango wa kutokea baada ya msimu mmoja!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad