BREAKING: Singida Big Stars yauzwa, Yabadilishwa Jina

BREAKING: Singida Big Stars yauzwa, Yabadilishwa Jina


Klabu ya Singida Big Stars FC rasmi imeuzwa kwa Japhet Mboto Makau Mkurugenzi wa Fountain Gate Sports Academy, ambaye kuanzia sasa atakuwa mmiliki mpya wa timu hiyo iliyomaliza nafasi ya nne kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2022/23.

Klabu hiyo kwa sasa imebadilishwa Jina kutoka Singida Big Stars na itaitwa Singida Fountain Gate FC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad