BREAKING: Yanga Yamtema Bernard Morrison, Wamtakia Kila la Heri

Yanga Yamtema Bernard Morrison, Wamtakia Kila la Heri
Yanga Yamtema Bernard Morrison, Wamtakia Kila la Heri


Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na winga raia wa Ghana, Bernard Morrison.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa na klabu, imesema;

𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 @bm3gh

"Tunamshukuru Morrison kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC".



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad