Burna Boy hashikiki amechukua tuzo ya BET, Wabongo Wakiendelea Kuiga Amapiano


Burna Boy hashikiki amechukua tuzo ya BET usiku wa kuamkia leo kwa mara nyingine kwenye kipengele cha best international act.

Kwenye kipengele hicho alikua akishindana na @ayrastarr,@ayanakamura_officiel,@stormzy na wengine.

Wasanii wetu siku hizi wanafeli wapi hata nominations hatuwaoni, au amapiano zimetupoteza maboya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad