Burna Boy Msanii Anaeongoza Kupata Tuzo Nyingi za BET Barani Africa



Burna Boy anaendelea kudhihirisha ukubwa wake hii ni baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoka bara la Afrika kuchaguliwa kuwania tuzo hizo kwenye categories nyingi zaidi kwa msimu mmoja.

Burna boy amechaguliwa kuwania tuzo hizo kwenye vipengele vinne,(1) Best male r&b and pop artist (2)Video director of the year (3)Viewers choice awards(last last) (4)Best international act.

Hakuna msanii yoyote kutoka Afrika mashariki aliechaguliwa kuwania tuzo hizo kwenye kipengele chochote kwa mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad