Choo walichokalia Beyonce, Jay Z chauzwa Milioni 5

Choo walichokalia Beyonce, Jay Z chauzwa Milioni 5


Unataka kukalia choo ambacho wamewahi kukikalia Jay-Z na Beyonce? Sasa kipo sokoni kwenye mtandao wa eBay, kinauzwa ($2,400) zaidi ya Tsh. Milioni 5.7.


Kampuni ya Eric Architectural Salvage LA inapiga mnada baadhi ya vitu ambavyo vilikuwa kwenye nyumba ambayo waliwahi kupanga mwaka 2015, Holmby Hills, Los Angeles.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad