Diamond Platnumz Atangaza Hali ya Hatari Kuanzia Mwezi wa Saba


Kufuatia kuwa ni mwezi wa kuzaliwa kwa Mama yake mzazi, Diamond Platnumz ameuteua mwezi huo kuanza kuachia kazi zake

Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram (Insta-Story) Ameandika

"Julai ni Mwezi rasmi wa Kuzaliwa Mama yangu....Na Kuanzia Mwezi huo itaanza rasmi Mvua ya Mawe!...Zangu, Collabo za nje na za Ndani...
Na nitahudumu hapo kwa No.1 On Trending kuanzia July 2023 hadi January 2024 .....Nitampisha Msanii wangu mpya Wasafi, na ninao heshimiana nao!🔥🔥"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad