Diamond Platnumz "Sitaki Maoni, Ushauri Pelekeni Angaza Huko"


“Hivyo kama Mlivyokaa kwa kutulia wakati natega mabomu yangu ya kutoka nje ya East Africa, naomba pia mkae kwa kutulia vivo hivyo nnapoanza Mashambulizi yangu. Sitaki Maoni wala ushauri ushuzi, ushauri Pelekeni Angaza!. kama Washauri wazuri wakati nilivyokua kimya nikideal na media Mngewashauri hao wasanii wenu mnaowashindanisha ili wayafanye hata robo ya nlichokua nikifanya, kwenye Matuzo, Majukwaa, kupunguza hizi dharau za wa nigeria leo... lakini wote viliwashinda..asa wanaume tnao yaweza tunapoanza tunaomnba mtulize K!” - Diamond Platnumz (Insta story)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad