PICHA: Diamond Platnumz NOMA Awasha Moto Yanga, Wananchi wapagawa

 

PICHA: Diamond Platnumz NOMA Awasha Moto Yanga, Wananchi wapagawa



Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefanya bonge la shoo katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sherehe rasmi za Klabu ya Yanga kusherehekea ubingwa walioupata msimu huu.

Yanga wameandika rekodi nyingine ya kuchukua kombe la Shirikisho la Azam Sports katika fainali iliyochezwa jana Juni 12, 2023 Mkoani Tanga katika Dimba la Mkwakwani baada ya kuibuka kwa ushindi wa goli moja dhidi ya Azam FC.

Shrehe hizo zimehudhuriwa na mashabiki, wanachama na wapenzi wa timu hiyo kuungana nao katika viunga majira asubuhi saa tatu Karume- Msimbazi kisha kumalizika katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani Dar es Salaam.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad