Dr Slaa "Watanzania Tumekuwa Watazamaji Mali zetu zikitapanywa"


Balozi Mstaafu, Dkt. #WillibroadSlaa akizungumza na Wanahabari anasema “Ni jukumu letu kutoa maoni kuhusu mikataba ya Nchi. Kwa bahati mbaya Watanzania wengi tumekuwa watazamaji huku Mali zetu zikitapanywa, mara nyingi wanaofanya hivyo ni wale tuliowapa dhamana.”

Anaongeza "Hakuna njia nyingine, lazima Wananchi wote kwa jumla tupige kelele ili kuokoa Maendeleo ya Nchi yetu kama ilivyoelezwa katika Katiba yetu Ibara ya 27 (1) na (2)."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad