Web

Eng. Hersi "Kuna Baadhi ya Waandishi Wanaisema Yanga ili Kupata Umaarufu"


"Kuna Mtindo umeingia kwa baadhi Ya Wachambuzi ambao wanaona ili kuweza kufikisha Ujumbe Wake inabidi utumie namna flani ya Kuwasilisha ( Kwa Kuponda) . Kwangu mimi hii naona ni kutafuta attention ili watu waone au wafuatilie unachozungumza . Kwa mfano kuna Mchambuzi Mmoja nimeona kaandika Medali bila Ubingwa ni sawa na Hirizi , Sasa Kweli unaweza Ukafananisha Medali Ya CAF na Hirizi ? "

- Maneno ya Injinia Hersi, Rais wa Yanga

𝙐𝙉𝘼𝘿𝙃𝘼𝙉𝙄 𝘼𝙏𝘼𝙆𝙐𝙒𝘼 𝙆𝘼𝙒𝘼𝙇𝙀𝙉𝙂𝘼 𝙒𝘼𝘾𝙃𝘼𝙈𝘽𝙐𝙕𝙄 𝙒𝘼𝙆𝙄𝙉𝘼 𝙉𝘼𝙉𝙄 ?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad