Erasto Nyoni na Jonas Mkude Kuagwa Siku ya Simba Day?


LEGEND JONAS MKUDE NA ERASTO NYONI WATAAGWA RASMI SIKU YA SIMBA DAY, JANA KILICHOFANYIKA NI KUTOA TAARIFA YA KUACHANA NAO

Ingewezekana kuagwa mechi ya mwisho lakini sio kila Mchezaji hutokea hivyo kwakuwa wengine lazima wakae mezani kukubaliana kisha kupeana mkono wa kwaheri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad