Fei Toto "Zile Pesa Mlizonichangia Zitapelekwa Msikitini na Kanisani


Mchezaji Feisal Salum amesema pesa ambazo alichangiwa na Watanzania ili kumuwezesha kwenye Mahakama ya CAS atazigawa Msikitini, Kanisani na kwenye Vituo vya Watoto Yatima kwani itakuwa ngumu kuzirudisha kwa Watu waliomchangia “pesa sijui nani alitoa nani ambaye hajatoa, wasiwe na wasiwasi hii sio haki yangu ni haki yao na siwezi kurudisha kama ilivyotumwa”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad