Gigy Money Atimiza Miaka 26, Atamba

Gigy Money Atimiza Miaka 26, Atamba


Usiku wa kuamkia leo Juni 16, 2023, Msanii Gigy Money amesherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwenye sherehe hizoa amesema anajivunia kutimiza umri wa miaka 26 huku akiwa kwenye kiwanda cha burudani kwa miaka 10.

"Mimi nina miaka 26 tu wala msiseme mzee, mimi bado kijana. Umri wangu bado ni wa kubeti, msinizeeshe," alisema Gigy alipohojiwa na waandishi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad