Gigy Money "Mimi na Zari ni Dam Dam Hata Kama Wameachana na Diamond Platnum"


Amefunguka kuwa hivi Karibuni atafunga Safari kwenda London kwa ajili ya #ZariAllWhiteParty ya zarithebosslady kwani yeye yupo upande wake hata kama wameshaachana na Staa #DiamondoPlatnumz
.
Akiwa kwenye kipindi cha #RahaZaUshwahilini cha @efmtanzania #Gigy Amesema..

"Nahisi nina Inteview sana huu Mwezi nikitoka tu London kwani hivi karibuni naenda kwenye #ZariAllWhiteParty , Mimi na #Zari kama mtu na dada yake namuona kama kazaliwa Keko,Wenyewe kama wameachana ni wao mimi nipo Popote alipo yeye"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad