Haji Manara Amposti Aliyekuwa Mkewe na Kuandika Thank You "Kawaambie Ndugu zako Nimekutrendisha Leo"


Mwendo wa Senkyu unaendelea.

Asante Ndoa yetu, japo ya muda mfupi, nakuombea maisha marefu huko ulipo na furaha tele, Kwetu Ndoa zimeumbwa kuwepo na kutokuwepo, na hii ni Semkyu njema kwako 🙏🏻🙏🏻

Katika Ndoa kuna vipindi vya furaha na vya huzuni pamoja na vile vipindi vibaya, tusameheane katika vipindi vibaya na kila mmoja achukulie ni mitihani tu ya upuuzi wa kilimwengu.

Na Kwa sababu uliwahi kuwa na mahusiano na mimi tegemea always kukuhifadhi hadharani no matter wat, nimeumbwa hivyo kuwastiri EX zangu.

Salimia nyumbani kwenu na rafiki zako, waambie Buga kanitrendisha leo.

Kila la Kheri katika Changamoto zako mpya za mahusiano, Mungu akujaalie, Bugati hana baya kama wasemavyo Wananchi.

Senkyu Dear Ex @rushaynah_

Nb: Thank You zinaendelea kesho
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad