Harmonize Aamua Kuhamia Marekani Kimoja...Tanzania ni Kuja Kusalimia tu



Harmonize na mpango wa kuishi ughaibuni kusogeza mbele muziki wake.

Ana zaidi ya mwezi mmoja nje ya Tanzania staa wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize anatajwa kuwa na mpango wa kuishi nchini Marekani kwa kipindi chote ambacho atafanya muziki wake

Taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika chenye ukaribu na staa huyo kimesema kuwa ni "Ni muda wa Harmonize kupambania muziki wake kimataifa zaidi. Anaamini ni ngumu kupenya kwenye soko la Marekani kama haupo ndani ya Marekani tena haswa kwa wasanii waliotoka kwenye jamii zinazozungumza lugha ngeni duniani"

Chanzo hicho kimeongeza kuwa "Harmonize atakuwa anakuja Tanzania kusalimia familia kisha atarudi Marekani ambapo anatajwa kutembelea studio mbalimbali za muziki na kukutana na mastaa/wadau mbalimbali wa muziki nchini humo"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad