Hata Yanga Wakishwa Leo Wapokelewe Kwa Maandamano Makubwa Wakirudi


“Yanga kufika hatua ya Fainali tayari ni mafanikio, hata kama hawatachukua ubingwa hawapaswi kurudi kinyonge. Wanapaswa kupokelewa kwa maandamano kwa matokeo yoyote yatakavyokuwa.”

“Yanga ni miongoni mwa timu ambazo zimeipeperusha vyema bendera ya nchi msimu huu. Kufika fainali sio jambo jepesi ndio maana imechukua miaka 30 kufika hatua hiyo tangu timu ya kwanza ilipofika.”

By Edgar Kibwana, Mchambuzi Clouds Media

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad