Jezi Namba 20 Yastaafishwa Simba Kisa Jonas Mkude


Jezi namba 20 IMEATAAFISHWA Simba SC kumuenzi Jonas “Nungunungu” Gerald Mkude. Msimu ujao haitokuwepo Simba SC mpaka pale atakapopatikana kijana kutoka Academy yao ambaye atapitishwa na makocha wa vijana kwamba ana akisi kile Jonas alichofanya na akapandishwa senior Team kucheza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad