Kairan Quanzi mtoto wa miaka 14 aajiriwa na Elon Musk

Kairan Quanzi mtoto wa miaka 14 aajiriwa na Elon Musk


Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk.


Tofauti na watoto wengine, inasemekana kuwa alipokuwa na umri wa miaka miwili (2) alikuwa anaweza kuumba maneno yanayotengeneza sentesi kamili, ndipo walimu wake walistajabishwa na uwezo wake kiasi cha kumuombea nafasi ya kusimulia stori kwenye radio, Kutokea hapo alipandishwa madaraja ya Elimu.


Kwa sasa Kairan Quanzi anaumri wa miaka 14 akiwa muhitimu wa Shahada ya uhandisi na inatajwa alifanikiwa kuanza masomo yake ya Uhandisi wa kompyuta tangu akiwa na umri wa miaka 11 na ameajiriwa kwenye kampuni ya Space X kama Software Engineer.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad