Kampuni ya DP World Yawatoa Wasiwasi Watanzania 'Hatujafunga Mkataba Wowote'


Kampuni ya DP World Yawatoa Wasiwasi Watanzania 'Hatujafunga Mkataba Wowote'

Kampuni ya Dubai Port World (DP World) imewatoa wasiwasi Watanzania kwa kufafanua kwamba mkataba baina yake na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ni ushirikiano ambao hauzifungi pande hizo mbili kisheria.

Kupitia taarifa yake kwenye mitandao ya kijamii DP World imesema:- “Tunapenda kuwajulisha Watanzania kwamba DP World bado haijafunga mkataba wowote wa makubaliano kati yake na TPA. Mkataba uliopo sasa (IGA) ni mkataba wa ushirikiano ambao hauzifungi pande zote kisheria. Ukomo wa mikataba, itawekwa wazi kwenye ndani ya mikataba ya kazi mahususi.”

#KitengeUpdates

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad