Kampuni ya Ocean Gate Imetangaza Safari Mpya ya Kwenda Kuona Mabaki ya Meli ya Titanic


Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.

Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad