Kifo Chamnyemelea R.Kelly Gerezani

Kifo Chamnyemelea R.Kelly Gerezani


 Nyota wa Muziki kutoka Marekani Robert Kelly (R. Kelly) amwaga Machozi akiwa Gerezani, kwenye Sauti Iliyodakwa Na #RaphouseTv ameweka Wazi Kwamba hapati huduma bora Gerezani ikiwa Ni baada Ya kubainika ana tatizo La damu kuganda Lililopelekea kuwa na hofu ya maisha yake Gerezani.


RKelly Amesikika Akisema Kwamba,



"Nina Hofu Na Maisha Yangu, Kwani Sipaswi Kufa Kwasababu Ya chuki Ya Mtu Ambaye Hajali Tatizo La Mguu Wangu.


"Vipi Angekuwa Baba Yako, Mama Yako, Mtoto Wako Au Mtu Umpendaye Angepatwa Na Tatizo Hili - (Ungeshauri Aende Akapatiwe Matibabu Na Daktari) Lakini Kwangu haikuwa Hivyo, Hata X-Ray Hamjanifanyia. Ninahofia Maisha Yangu Katika Eneo hili, Ilikuwa Karibu Nife, Kwani Hata Wanyama Wanapewa Huduma Bora Kuliko Mimi"


R kelly Kwa Sasa anatumikia Kifungo Cha Miaka 30 Jela Kwa Unyanyasaji wa Kingono

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad