Kumekucha: Ntibazonkiza Anamkimbiza Fiston Mayele Kimya Kimya Mfungaji Bora Ligi Kuu.

Ntibazonkiza Anamkimbiza Fiston Mayele Kimya Kimya Mfungaji Bora Ligi Kuu.


Saido Ntibazonkiza anafunga magoli yake matano, anawashusha daraja Polisi Tanzania kwa heshima zote, hakika amekuwa na msimu bora sana kwake.

Huu ni usajili bora sana kwa @simbasctanzania msimu huu magoli 15, assist 12 mpaka sasa.

Ntibazonkiza ni kama anamkimbiza mtu wake kimya kimya hivi kwa maana ya idadi ya magoli akiwa na mabao 15 wakati Fiston Mayele akiwa na 16.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad