KUMEKUCHA: Passport ya Zari na Mumewe Zavunja, Amezaliwa Mwaka 1978, Mwenyewe Augomea Mwaka Huo


Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Uganda @zarithebosslady amewatolea uvivu watu wanaosema anatoka kimapenzi na mwanaume mwenye umri sawa na mtoto wake,ni baada ya passport zao kuvujishwa na promoter siku ya jana.

Passport hizo zinaonyesha Zari amezaliwa 1978 huku mumewe akizaliwa 1992,@zarithebosslady amedai kuwa yeye kazaliwa 1980 na sio 1978 kama passport inavyosema huku akisema kwenye passport watu wanaweka miaka tu kwa sababu fulani.

Zari Hassan amedai passport yake na mumewe zimevujishwa na promoter ambae aliandaa party ya all Zari white party London baada ya kushindwa kuelewana 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad