Kumekucha..Mwanamke wa Marekani Ajitokeza na Kudai Anaujauzito wa Mwanamuziki Davido



Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la #AnitaBrown amejitokeza na kudai kuwa anaujauzito wa mwanamuziki #Davido

Anita ametumia Instastory yake kufichua jambo hilo ambapo anasema alikuwa hajui kama Davido ameoa. Lakini pia Anita amedai kuwa alikutana na Davido mwaka 2017. Mahusiano yao yalikuwa endelevu mpaka akashika ujauzito ambao Anita alihakikisha hilo kwa kuweka matokeo ya kipimo cha ujauzito

Lakini pia Anita ameambatanisha na meseji walizokuwa wanachati na Davido.
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad