Lady Naa "Zari Alikuwa Akiwashawishi Rayvanny na Gigy Money nao Wasiende Kwenye Show"



Ndani ya #Mashamsham Leo @ladynaaaa amefunguka Kila kitu kilichofanya @zarithebosslady ashindwe kutokea kwenye show (All White Party) iliyoandaliwa nchini Uingereza Huku @rayvanny na @gigy_money_og wakiwa miongoni mwa wasanii waliotakiwa ku-perfom kwenye show hiyo

Lady Naa amesema kuwa ilipofika majira ya saa saba Usiku alishangaa kuona meseji ya Zari Akisema Anaenda kulala wakati alitakiwa kutoka hotelini na kwenda kwenye show hiyo iliyoandaliwa maalum Kwa Ajili yake

Lady Naa Ameendelea Kusema kuwa #Zari alidai anataka amaliziwe pesa zake Zilizobaki tena Kwa Cash na ikambidi afanye hivyo, ila alipomfuata Chumbani kwake akakuta Zari Amelewa sana na akagundua kuwa alikuwa akiwapigia simu #Rayvanny na #GigyMoney kuwaambia Wasiende kwenye show hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad