Man City Kama Yanga ni Makombe tu, Idadi ya Makombe iliyochukua toka Pep Guardiol Awe Kocha


Hatimaye Pepe Guardiola anatwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa barani Ulaya akiwa na Manchester City.

Haikuwa kinyonge,Jasho limewamwagika Inter lakini Leo Malaika wa zamu hakuwa upande wao.

Ndo inaitwa Trebo sio?

MATAJI ALIYOBENA PEP GUARDIOLA TANGU AWE KOCHA WA MPIRA WA MIGUU 🚨

🚩 3️⃣x Champions League winner 🏆🏆🏆
🚩 5️⃣x Premier League winner 🏆🏆🏆🏆🏆
🚩 4️⃣x English League Cup 🏆🏆🏆🏆
🚩 3️⃣x Bundesliga winner 🏆🏆🏆
🚩 3️⃣x LaLiga winner 🏆🏆🏆
🚩 3️⃣x UEFA Supercup winner 🏆🏆🏆
🚩 3️⃣x Spanish Supercopa winner 🏆🏆🏆
🚩 3️⃣x Club’s World Cup 🏆🏆🏆
🚩 3️⃣x DFB-Pokal winner 🏆🏆
🚩 3️⃣x FA Cup winner 🏆🏆
🚩 3️⃣x Community Shield 🏆🏆
🚩 2️⃣x Copa del Rey winner 🏆🏆
🚩 2️⃣x Makombe matatu kwa msimu mmoja katika Klabu mbili Tofauti Barca na Man City.

Pep Guardiola Kocha wa Mpira 🙌💙.
...........

𝐑𝐄𝐂𝐎𝐑𝐃𝐒 𝐄𝐫𝐥𝐢𝐧𝐠 𝐇𝐚𝐚𝐥𝐚𝐧𝐝 2022-23 🙌

👕 Michezo - 53
⚽ Mabao - 52
🅰️ Pasi za mabao - 09
🏆 Bingwa wa FA Cup
🏆 Binga wa Ligi kuu Uingereza
🏆 Bingwa wa UEFA Champions League
🥾 Mshindi wa Kiatu cha ufungaji bora EPL
🥾 Mshindi wa Kiatu UEFA Champions League
⭐ Mchezaji Bora wa Msimu ligi kuu Uingereza
⭐ Mchezaji bora Chipukizi wa ligi Uingereza
⭐ FWA Mchezaji bora wa Mwaka
⭐ Rekodi ya Mabao mengi Uingereza 36
🚨Amemaliza msimu Na makombe matatu akiwa na umri mdogo sana miaka 22 Pekee🙌

Je Vigezo hivyo vinatosha kuwa mwanasoka bora wa Dunia kubeba Balon Di'or msimu huu?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad