Mange Kimambi Akerwa na Ali Kiba Kutoka na Wasichana wa Mjini Huku Ameoa.. "Mpe Mkeo Talaka"


Leo Mange akerwa na ukaribu Alikiba na niffer na kudai nakupenda ila unamuonea sana amina umemzalisha watoto wawili anakuomba talaka mtandaoni na hutaki kumpa huu apa walaka wa mange kimambi

@officialalikiba We love you. Especially mimi, unajua vile nakupendaga na vile nasimama na wee come rain come sunshine. We mwenyewe unaiua mimi nakupenda zaidi hata ya huyo Niffer.
Ila ni hivi embu kuwa muungwana basi.
Please acha kuwa kama typical African men, kutesa wanawake. Una reputation nzuri kwenye jami unlike yule mwingine ila kwa hili la @aileenalora unaharabu brand yako na jina lako. Na kwa hili mimi nasimama upande wa Amina.
Huwezi kutoka public na mwanamke mwingine huku hutoi divorce kwa Mkenya wa watu. Kwanza umetenda vibaya sana huyu mwanamke. Umemwaribia maisha yake.
Huyu @aileenalora anaonekana ni zile type za kuolewa mara moja na kutulia kwenye ndoa for the rest of her life ila umemtia doa kwa kumzalisha watoto waili na wewe kuendelea na wanawake wa mjini.
Unajua nini wanaume wa Africa huwa mna unafki sana, mkiongea mnajidaigi mnataka wanawake wa kujistiri, wapole, hawana mambo mengi ila mkiwapata mnawamiss wavaa vimini na wenye mambo mengi kama kina Niffer.

Anyways, Kiba please do right by this woman. Mpe divorce yake mtoto wa watu.
Mbali na kumpa divorce kila mwezi tuma child support mana nimesikia child support hutoi mpaka mpaka we kwenye mood. Aisee mbona hizi tabia hafanani nazo? Hizi tabia tumezizoea kwa Dai sio kwako, Ally wewe una heshimika kila kona embu linda heshma yako. Hivi Ally unashindwa kumpa Amina atleast 1M kila mwezi na ukalipa school fees za watoto? Embu kuwa na huruma, umesha haribu maisha ya huyo binti basi angalau muondoleee stresss za kulea na watoto na umtoe kwenye kifungo cha ndoa ila na yeye aweze ku move on kama wewe??
Hii tu kutoka live na Niffer huku ukiwa bado mume wa mtu ni mbaya pia. Haijakaa sawa.
Na wewe Niffer why humuulizi kama kweli ana kupenda why hataki kumpa talaka mkewe?
Ni hayo tu kaka, fans wako tunakupenda ila acha unvanyasaji wa wanawake na watoto.
Kutokutoa matunzo ni unvanyasaji wa watoto.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad