Masaa ya 24 ya Uasi Huko Urusi


Kwa usiku mmoja mrefu wa Juni , kiongozi wa mamluki wa Urusi Yevgeny Prigozhin  alianzisha uasi, na kutuma msafara wa kivita kuelekea Moscow na kuibua maswali juu ya mamlaka na nguvu za Vladimir Putin madarakani.


Lakini mwisho wa Jumamosi, Prigozhin alikuwa amebadilisha mwelekeo huo kuwaamuru wapiganaji wake kurejea kambini .

Kwa miezi kadhaa amekuwa akitekeleza jukumu muhimu katika kampeni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine, akiandikisha maelfu ya watu kwa kundi lake la mamluki la Wagner, haswa kutoka jela za Urusi.

Kwa muda mrefu amekuwa katika mzozo wa hadharani na wakuu wa kijeshi wanaoendesha vita, lakini hilo liligeuka kuwa uasi wa wazi walipokuwa wakitafuta kuweka majeshi yake chini udhibiti wao ifikapo tarehe 1 Julai.

Prigozhin alisisitiza haya yalikuwa "maandamano ya haki", sio mapinduzi.Vyovyote ilivyokuwa, yaliisha haraka sana.

Saa ishirini na nne za ghasia, na mengi sana ambayo hatujui.

Huu ni muhtasari wa matukio hayo:

Katika muda wa siku moja tu, matukio yaliongezeka na kisha yakapungua haraka kama mamluki wa Wagner walipoanzisha uasi na kisha kuukomesha haraka.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad