Mastaa Wasusia Bethidei ya Gigy Money

Gigy Money


Usiku wa jana imefanyika birthday party ya mwanamuziki Gigy Money pale mitaa ya Tips Masaki.


Pamoja na Gigy Money kuwa mmoja kati ya mastaa wasio kauka kwenye party za mastaa wenzake, usiku wa jana ulikuwa tofauti kwa Gigy.


Mastaa waliotokea walikua ni wakupapasa sana yani ni wachache tofauti na matarajio ya watu wengi waliojitokeza


Nandy, Masha Love, Mose Iyobo, Msami, Chino ndio mastaa waliojitokeza kwenye party hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad