Mayele Afunguka "Wanaosema Kufika Fainali ni Bahati sio Kweli, Tumepambana Sana"



"Mazingira yalikuwa magumu sana muda ambao tulikuwa tunashambulia na wao walikuwa wanashambulia pia, walipiga mafataki uwanjani, mechi ikasimama tunapoa tunatafuta namna tena ya kushambulia.”

"Mimi nawapongeza sana wachezaji wetu tumepambana sana, watu ambao wanasema Yanga imebahatisha kufika fainali sio vizuri, ukianngalia ambavyo tumeanza na hivi tumemaliza watu wamepambana na wamefanya kazi kweli.”

Mfungaji bora wa CAFCC - Fiston Mayele

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad