Mbappé Achafukwa Adai Messi Hapewi Heshima Anayostahili Baada ya Kutangaza Anaondoka PSG


Mbappé kuhusu Messi kuondoka ndani ya PSG

"Bado sielewi kwanini watu wamefurahi Messi kuondoka Klabuni yule ni Legend anatakiwa kuewa heshima ni mmoja wa wachezaji bora katika historia ya soka Duniani sio habari njema Kwa mtu kama huyu kuondoka ndani ya timu ”

“Sielewi kabisa ni kwa nini watu wengi hawakumpa heshima anayo stahili ndani ya ndani ya Ufaransa "

Wafaransa bado wanaikumbuka Fainali ya Kombe la Dunia , wamemkunjia GOAT 🙌

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad