Mchezaji John Bocco Apendekezwa Kuchukua Nafasi ya Umeneja wa Timu Sumba


Jina la nahodha wa Simba, John Bocco ni kati ya majina mawili yaliyopendekezwa kumrithi aliyekuwa meneja wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu ambaye amepewe majukumu mengine kwenye upande wa timu za vijana.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad