Mchezaji wa Manchester City Adai Kufanya Ngono na Wanawake 10,000


Mchezaji wa Manchester City Adai Kufanya Ngono na Wanawake 10,000
Manchester City Benjamin Mendy

Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy anadaiwa kufanya ngono na wanawake 10,000.

Mahakama iliambiwa kuwa Mendy alimbaka msichana mmoja kisha akamwambia "ni sawa, nimefanya ngono na wanawake 10,000".

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anatuhumiwa kumshambulia mwanamke huyo, mwenye umri wa miaka 24 wakati huo, kwenye jumba lake la kifahari la pauni milioni 4 huko Mottram St Andrew, Cheshire, Oktoba 2020.

Pia anatuhumiwa kwa jaribio la kumbaka mwanamke mwingine, mwenye umri wa miaka 29 wakati huo, ambaye alisema pia alimshambulia nyumbani kwake miaka miwili kabla.

Mwanasoka huyo amekanusha mashtaka yote mawili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad