Mchezaji Zlatan Ibrahimovic Astaafu Kucheza Soka



Straika huyo raia wa #Sweden ametangaza kustaafu akiwa na umri wa Miaka 41 baada ya kucheza Soka kwa Miaka 24

Amestaafu akiwa anaichezea #ACMilan, timu aliyoiwezesha kutwaa ubingwa wa #SerieA Mwaka 2011 na 2022, ikikumbukwa kuwa Miezi kadhaa iliyopita alisema hana mpango wa kustaafu licha ya kuandamwa na majeraha na umri nao kuonekana kumtupa mkono

#ZlatanIbrahimovic amecheza mechi 988 ngazi ya Klabu na Taifa. Klabu alizocheza kuanzia Mwaka 1999 ni; Malmo, Ajax, #Juventus, #InterMilan, #FCBarcelona, AC Milan, #PSG, #ManchesterUnited na LAGalaxy
-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad