Mgonjwa Mahututi Brazil Amuachia Mali Zote Alizonazo Mchezaji Neymar


Mfanyabiasha mmoja huko Brazil ambae kwa sasa ni mgonjwa mahututi ameamua kumrithisha mali zake zote akifariki kwa madai ya kumpenda nyota huyo na kuwa na mahusiano ya kifamilia na Baba yake.

Neymar wa Paris Saint-Germain ni mmoja wa wanamichezo wanaolipwa vizuri zaidi duniani, akiwa na wastani wa mapato ya dola za Marekani milioni 85 kwa mwaka 2023, kulingana na Forbes.

“Sina afya nzuri na kwa sababu hiyo nikaona sina mtu wa kumuachia vitu vyangu nisingependa serikali au ndugu ambao sielewani nao wachukue. mali zangu hivyo nimeona yeye anafaa.”- Alisema Mfanyabiasha huyo katika mahojiano na chombo cha habari cha Metropoles.

Hii ndio ile alienacho Ataongezewa 😀
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad