Miaka Waliotumikia Erasto Nyani na Mkunde Hawakupashwa Kuangwa na "Thank You" Pekee Simba




Miaka 6 ya Erasto Nyoni akitokea Azam FC ameshiriki kuipa Simba ubingwa wa Ligi kuu mara nne mfululizo Je ni sawa hivi alivyoagwa ___?

Mkude amehudumu Simba kwenye panda shuka , kutoka Simba ile yenye ukata mpaka hii ya mafanikio ni hesabu ya miaka 13 , unahitaji mchezaji ahudumu kwa muda gani ili awe LEGEND ?

Je alistahili kuagwa Mtandaoni____?

Thadeo Lwanga na Medie Kagere mnakumbuka walivyoagwa ? pengine mambo yanabadilika au tumewahi kuwaza yajayo acha tusubiri pengine kuna namna ya kuwaaga baada ya hii THANK YOU .

DIGALA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad