Mwimbaji Sarafina Atoa Sababu za Kuvaa Nguo za Nusu Utupu


Staa wa Muziki wa Bongo Fleva @phina__tz Amesema kuwa sababu zinazomfanya kuvaa nguo zinazomuonesha mwili wake ni kwasababu ya Joto liliopo Dar es salaam na sababu yeye ni Mnyamwezi hivyo anafanya vitu vinavyompa furaha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad