Nguruwe Ala Mtoto Mlemavu wa Miaka 10



Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 10 aitwaye Haruna Mwanakatwe ambaye alikua Mlemavu wa viungo, anadaiwa kufariki baada ya kuvamiwa na kuanza kuliwa na Nguruwe anayefugwa nyumbani kwao akiwa ameachwa nyumbani peke yake Mtaa wa Eden B, Sumbawanga Mkoani Rukwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad