Okwa : Nimepoteza Muda Wangu Simba, Nilikuwa na Ndoto za Kucheza Soka Ulaya




"Nimetoka Nigeria nikiwa nahodha, nimeshinda makombe na nikiwa kwenye kiwango kikubwa, Nilikuwa na malemgo ya kwenda ulaya, Tangu nije Simba sijawahi kuwa na furaha, sijapiga hatua yoyote zaidi ya kupoteza muda wangu tu"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad