Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mrembo kutoka Rwanda @yolo_the_queen_ ameweka wazi kuwa hayupo kwenye Mahusiano ya kimapenzi.
Kupitia Instastory yake Alishare moja ya chart kutoka kwa Shabiki yake ambae alikuwa anamwambia kuwa anaetoka nae Kimapenzi amepata Bahati kitu ambacho #Yolo alijibukuwa kwa bahati Mbaya yupo Single.
Staa wa muziki @harmonize_tz kabla ya kuachia wimbo wake wa #Zanzibar Aliweka wazi kuwa yupo kwenye Mahusiano na Mrembo huyo na aliahidi kumchora Tattoo.