Rais Samia Amteua Prof. Abel Makubi Kuwa Mkurugenzi wa Moi


UTEUZI: Rais #SamiaSuluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi (Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Afya) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake
-
Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) akichukua nafasi ya Gharib Bilal (Makamu wa Rais Mstaafu) ambaye amemaliza muda wake
-
Amemteua Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Marten Lumbanga aliyemaliza muda wake
-
Dkt. Edwin Mhende ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Plc kwa kipindi cha pili
-

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad