Rais Samia Suluhu Atoa Ndege Kuwapeleka Yanga Mbeya


Rais Samia Suluhu ametoa ndege maalum kuipeleka Yanga SC jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mbeya City, Juni 6 mwaka huu.

Yanga itaelekea Mbeya baada ya kupata chakula cha jioni na Rais Samia Ikulu jijini Dar es Salaam leo kama pongezi kwa juhudi walizozionesha katika mashindano ya Kombe la Shirikisho la Afrika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad