Rasmi Sasa...Zama za Yanga na Nabi zimefikia ukomo


Kocha mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi ameagana rasmi na Viongozi pamoja na Wachezaji wa Yanga na muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa Kaizer Chiefs .

Zama za Yanga na Nabi zimefikia ukomo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad