Rotimi 'Vanessa Mdee Ameokoa Maisha Yangu'


Kwenye Birthday ya Vanessa Mdee, Mchumba wake Rotimi @rotimi alikuwa na ujumbe huu kwaajili yake, "Kwa rafiki yangu bora, shujaa wa maombi, mwanamke mzuri zaidi, mama wa ajabu, na mwenza wangu, Nakupenda sana, Safari hii pamoja nawe imekuwa Baraka kutoka kwa Mungu. nashukuru sana kuwa na wewe. ULIOKOA MAISHA YANGU na nipo pamoja nawe milele. Heri ya siku ya kuzaliwa mama Imani".
-
Happy Birthday V Money, @VanessaMdee

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad