Saido anyakua Tuzo ya Kiungo Bora Ligi Kuu ya NBC

Saido anyakua Tuzo ya Kiungo Bora Ligi Kuu ya NBC


Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Kiungo Bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23.

Saido amejiunga na Simba katika dirisha dogo la Januari akitokea Geita Gold amefunga mabao 17 na kutoa pasi 12 za mabao msimu wa 2022/23.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad