Saido Ntibazonkiza Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu


Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Raia wa Burundi Saido Ntibazonkiza amefanikiwa kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu soka Tanzania bara 2022/23.

Saido katika mwezi Mei amefanikiwa kufunga goli 7 na assist 2 kitu ambacho kinamfana kuhusika na upatikanaji wa magoli 9 ya timu yake ndani ya mwezi Mei 2022/23.

Pamoja na tuzo hiyo Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho amefanikiwa kushinda tuzo ya Kocha bora wa mwezi Mei akiiongoza Simba kushinda mechi tatu na sare 1.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad