Serikali Kushusha Faini ya Kutotoa na Kudai Risiti ya EFD



Waziri wa Fedha, Dkt. #MwiguluNchemba, amependekeza marekebisho hayo kwa mujibu wa Kifungu cha 86(1) cha Sheria ya Usimamizi wa Kodi ili kushusha hadi Tsh. 3,000,000 (20% ya kiwango cha Adhabu ya Kutotoa Risiti ya EFD) kutoka Tsh. 4,500,000 ya awali

Pia, kiwango cha adhabu inayotozwa kwa makosa ya kutodai #RisitiYaEFD na kutotoa taarifa juu ya kosa hilo, kimependekezwa kuwa Tsh. 1,500,000 (20% ya thamani ya Kodi iliyokwepwa)

Viwango hivi viliwekwa kwa lengo la kuchochoea Utii wa Matakwa ya Sheria za Kodi zilizopo. Hata hivyo imebainika kuwa Viwango vikubwa vya Adhabu vinachochea mazingira ya #Rushwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad